TFF YAMFUNGIA MWAKALEBELA KUTOJIHUSISHA NA MPIRA WA MIGUU NDANI NA NJE KWA MIAKA 5.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo Ijumaa limeshusha rungu zito kwa Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela kwa kumfungia kutojihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano. Mwakalebela pia ametozwa faini ya Sh5 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa kutoa maneno ya uchochezi kwa